Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

By RFI KiswahiliArts
Download on the App Store

Nyumba ya Sanaa episodes

  • Sanaa ya utengenezaji wa vibonzo
    Utengenezaji wa picha jongefu ni Sanaa nyingine inayoibuka kwa kasi nchini Tanzania, Wachoraji wanatumia vipaji vyao kusanifu Michoro inayosimulia hadithi  kwa njia ya video fupi ilitengenezwa kwa kutumia katuni, Je Sanaa hiyo ikoje?
    Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.
    21 min
  • Reggae kurejea Afrika - Jah Bone D
    Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka nchini Rwanda, Jah Bone D, baada ya kuishi Uswizi kwa miaka zaidi ya 20 sasa anataka kurejesha muziki wa Reggae katika nchi za Afrika Mashariki.
     
    Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Jah Bone D katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
    21 min
  • Sanaa ya uchoraji Tanzania - Nasma Mzee
    Kutana na msichana wa mwaka wa tatu Chuo kikuu cha Dar es salaam,Nasma  Mzee  akichukua Shahada ya Kwanza ya Sanaa na Ubunifu aliyechagua kuwa Mchoraji ili kuwasilisha Maudhui ya Sanaa aliyosomea.
     
    Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Nasma Mzee.
    21 min
  • Sanaa ya utunzi wa mashairi nchini Tanzania
    Kutana na Mshairi Zawadi Mengele aliyejikuta akifanya Sanaa ya Ushairi baada ya kumzawadia Mama yake shairi lililo amsha hisia ya Malezi.
    Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi  katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na mshairi huyo akianisha namna anavyopokelewa Tanzania.
    21 min
  • Sanaa ya utunzi wa vitabu vya mahusiano nchini Tanzania
    Ukosefu wa elimu ya mahusiano ni miongoni mwa sababu zinazochangia ndoa nyingi kuvunjika, kutana na Ahmed Hassan mtunzi wa vitabu vya mahusiano ya kimapenzi akizungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakizungumzia Sanaa ya Utunzi wa vitabu vya mahusiano.
    21 min
  • Nyumba ya Sanaa - Muziki wa taarab nchini Tanzania
    Taarab Asilia ni Miongoni mwa Muiziki yenye asili ya Mwambao, Maudhui yanayojikita katika kuelimisha uhusiano kati ya Mume na Mke,Nyimbo zilizosheheni Majigambo ,Je Unamfahamu Afua Suleiman Maganga mtunzi wa Wimbo Utalijua jiji ?
    Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu safari yake ya Muziki huo aliyoianza mwaka 1982.
    21 min
  • Nyumba ya Sanaa - Changamoto za uandishi na utunzi wa vitabu nchini Tanzania
    Sanaa ya uandishi na utunzi wa vitabu ni miongoni mwa sanaa zinazofifia hivi sasa kutokana na ukuaji wa utandawaji sambamba na wasomaji wengi kugeukia utumiaji wa mitandao ya kijamii na hivyo kuathiri biashara ya uuzaji wa vitabu.
    Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Emmanuel Mkama Mtunzi wa vitabu Kutoka nchini Tanzania wakizungumzia sanaa hiyo sambamba na Changamoto zake.
    21 min
  • Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya uchoraji na urembo katika mataifa ya Afrika mashariki
    Uchoraji si sanaa tu inayohusisha urembo pia ni sanaa inayotumika kutunza kumbukumbu, wachoraji wanafanya sanaa hii kama sehemu mbadala ya kujipatia kipato.
    Augosto Ngumba ni mchoraji mwenye shahada ya elimu ya Juu katika masuala ya Jamii,baada ya kukosa Ajira akaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kujijiri.
    Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.
    21 min

About Nyumba ya Sanaa

From the publisher's feed

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla,…

More shows like Nyumba ya Sanaa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners