Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Historia ya watu wa kabila la waturkana kaskazini magharibi mwa Kenya
    Karibu Jumapili hii kuwa nami katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia watu wa Kabila la Waturukana. Na kwenye kipengele cha le parler francophone nakuletea ratiba kwenye Institut francais yta Lubumbashi na Nairobi nchini Kenya lakini pia Dar es salaam Tanzania, na kwenye Muziki nakuletea kumbukumbu ya miaka 33 tangu kutokea kifo cha hayati Franco. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue et Bon reveil Matinale.
    20 min
  • Historia ya muandishi wa tamthilia Jean Baptiste Poquelin maharufu Moliere
    Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia ya mchekeshaji muigizaji kutoka nchini Ufaransa Jean Baptiste Poquelin maharufu Moliere aliefariki jukwaani wakati akiigiza, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutakuwa huko Dar es salaam, na Mombasa, kuangazia ratiba ya shughuli za sanaa juma hili, na kwenye muziki nitakuletea mwanamuzi nitakuletea mwaamuziki Florin Redpen ambae atatumbwiza Alliance Francaise Septemba 28.
    21 min
  • Historia ya muziki wa Jazz wakati tamasha la muziki huo likirindima jijini Kinshasa
    Naitwa Ali Bilali ninakukaribisha katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo Jumapili hii nakuletea Historia ya Muziki wa Jazz, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Alliance Francaise ya Lubumbashi, Nairobi na Kigali nchini Rwanda na kwenye Musiki nitakujuza kuhusu mwanamuziki Bruce Melodie kutoka nchini Rwanda. Makinika nami. Bienvenue.
    21 min
  • Historia ya malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili
    Karibu mpenzi msikilizaji katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea historia ya Malkia Elizabeth II ambae amefariki dunia juma hili, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaoungana na mwenzangu Reuben Lukumbuka aliekuwepo huko Arusha na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Elton John ambae ni wanamuziki wanaomuenzi Malkia Elizabeth wa Pili. Mimi naitwa Ali Bilali, Karibu.
    20 min
  • Toleo la 9 la bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon mwaka 2022
    Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu Bourse iitwayo Ghislaine Dupont na Claude Verlon. Na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakujuza kuhuus ratiba ya shughuli za kitamaduni katika Alliance francaise ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania ambae hivi karibuni amesaini na Lebo ya Rock Star ya nchini Afrika Kusini. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
    21 min
  • FARDC yathibitisha kutumwa kwa vikosi vya Burundi maeneo ya Uvira Kivu Kusini
    Nipo hewani Muda huu Ali Bilali kuongoza makala haya ya Habari Rafiki ambapo leo tunazungumzia kuhusu.Jeshi la Kongo lathibitisha kutumwa kwa wanajeshi wa Burundi mashariki mwa DRC, haswa huko Uvira. Je, hatua hii itasaidia kutokomesha vikundi vya waasi?Je, Wakongo wamepokeaje uwepo huu wa jeshi jipya la kigeni?Je, uwepo wa wanajeshi wa Burundi unaweza kuhakikisha kurejea kwa amani mashariki mwa DRC?
    10 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners