Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Maoni yako kuhusu hatuwa ya usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi
    Siku chache baada ya mamlaka ya wanyamapori nchini Tanzania, kutangaza kuruhusu kusafirishwa nje ya nchi kwa wanyama, Serikali kupitia waziri wake wa Utalii, imebatilisha tangazo hilo.
    Hatua hii imekuja baada ya raia wengi kuhoji uamuzi wa kuruhusu tena usafirishwaji wa wanyamapori, ambapo mwaka 2016 kuliwekwa zuio.Je ni lazima wanyamapori walindwe?Hali ipoje katika nchi yako?
    10 min
  • Historia ya jiji la Kisumu magharibu mwa Kenya sehemu ya pili
    Karibu kuungana nami jumapili nyingine katika Makla haya ya Changu chako Chako changu rfi kiswahili leo nakuletea sehemu ya pili na ya mwisho kuhusu hitoria ya jiji la Kisumu, nitaungana naye mwenzangu Victor Abuso aliekuwepo huko Kisumu na kwenye kipengele cha le parler Francophone nitakuletea sehemu ya ratibu ya shughuli za kitamaduni kwenye Alliance Francaise ya Nairobi pamoja  na Muziki nitakuletea mwanamuziki Anjella kutoka nchini Tanzania alie chini ya Lebo ya Konde Music Worldwide.
    21 min
  • Historia ya jiji la Kisumu magharibi mwa Kenya
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makla haya ya Changu chako Chako changu rfi kiswahili leo nakuletea hitoria ya jiji la Kisumu, nitaungana naye mwenzangu Victor Abuso aliekuwepo huko Kisumu na kwenye kipengele cha Muziki nitakuletea mwanamuziki muasisi wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Mr Sugu mimi ni Ali Bilali bienvenue.
    21 min
  • Tamasha la Cartoons for peace and democracy na ujio mpya wa Wenge Musica BCBG 4X4
    Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu chako Chako changu, ambapo leo nitakuletea kwa kiasi kikubwa maonyesho ya picha za katuni zilizchorwa na wasanii kutoka maeneo mbalimbali duniani, katika tamasha la Cartoons for Peace and Democracy, lakini pia nitakuletea kuungana tena kwa bendi ya wenge Musica BCBG 4X4 Tout terrain. Naitwa Ali Bilali. Bienvenue. Ama Karibu.
    20 min
  • Historia ya siku kuu ya wafanyakazi duniani inayoadhimishwa Mai Mosi
    Makala haya Changu Chako Chako Changu  hii leo Ali Bilali anakuletea historia ya siku kuu ya Kimataifa ya wafanyakazi duniani, le parler francophone tutazungumzia kuhusu tamasha la vibonzo lililoandaliwa na ubalizi wa Ufaransa jijini Nairobi na kwenye muziki nitakuletea Muziki wa Papa Wemba lakini pia hatuwa ya serikali ya DRC kununua makaazi yake ya kifahari huko Kinshasa.
    21 min
  • Historia ya kumbukumbu ya mauaji ya kimabri ya mwaka 1994 nchini Rwanda
    Katika makala haya Changu Chako Chako Changu, leo nimekuandalia historia ya mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, le Parler Francophone na mwanamuziki Corneille mwenye asili ya Rwanda ambae amekuja na album yake mpya baada ya ukimya wa miaka takriban 10.
    Miaka 28 Tangu kutokea kwa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda, dunia imejifunza nini? Ukizingatia vurugu za jamhuri ya Afrika ya kati, mauaji ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwengineko.
    21 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners