Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Historia ya michezo ya Jumuiya ya Madola
    Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, nakuletea historia ya michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika huko Uingereza, na kwenye le Parler francophone nakuletea ratiba ya tamasha kupitia centre culturel francophone ya Kigali na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Ufaransa wa miondoko ya RNB TayC. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
    20 min
  • Tamaduni ya mambo mbalimbali ya Rwanda
    Ni furaha tele kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea tamaduni mbambali za watu wa Rwanda, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nitakuletea tamati ya maonyesho ya sarakasi za siasa, yaliofanyika Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki kutoka nchini Rwanda Andy Bumuntu. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
    21 min
  • Historia ya Ufalme wa Bushi, huko Kivu kusini,
    Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya changu chako Chako Changu, leo nakuletea historia ya Ufalme wa Bushi, huko Kivu kusini, kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea sehemu ya maonyesho ya picha za sarakazi za siasa, na kwenye muziki kama nilivyokuahidi juma lililopita nitakuletea mwanamuziki Mbili Bele katika sehemu ya pili na mwenzangu Benson Wakoli, mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenu, ama Karibu.
    21 min
  • Historia ya mapinduzi ya Ufaransa la bastille day julay 14
    Karibu kuungana na mi katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo leo nakuletea Historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea mahojiano na mjoraji katika maonyesho yajulikanayo kama Sarakasi za siasa Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mbilia Bele aliezungumza na mwenzangu Benson Wakoli wakati wa ziara yake jijini Nairobi. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue.
    21 min
  • Historia ya kiswahili duniani na maadhimisho yake kwa mara ya kwanza
    Karibu msikilizaji kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo nakuletea Historia ya Kiswahili ambayo imeanza kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Julay 7 kote duniani, nitakuletea pia ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Centre culturel francais ya huko Kigali na kwenye Muziki nitakuletea sehemu ya Tamasha la mwanamuziki Lafouine alioifanya huko Kigali nchini Rwanda Juma lililopita. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
    20 min
  • Makala kuhusu Tamasha la MOCA lililofanyika huko Kigali Rwanda
    Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, makala maalum kuhusu Tamasha lijulikanalo kama MOCA, Movement Of Creative Africas, yaani jukwaa la Viwanda vya Utamaduni na Ubunifu vya Kiafrika (ICC) na diaspora. Jumapili hii siko pekeangu nitakuwa naye mtangazaji mwenzangu ambae tumeambatana pamoja mpaka Kigali nchini Rwanda Florence Kihuwa.
    20 min
  • Historia ya utawala wa ufalme wa Ubelgiji nchini DRCongo
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia ya Utawala wa Ufalme wa Ubelgiji nchini DRC, na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Ferre Gola ambae anakabiliwa na kesi huko nchini Ufaransa.
    21 min
  • Utamaduni wa watu wa Afrika mashariki katika mambo mbalimbali
    Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amewapikea Studio Gez Gez Kasesa kutoka nchini Burundi na Dokta Gharib Mosepe kuzungumzia utamaduni wa watu kutoka Burundi na Kenya katika maswala mbalimbali. na kwenye Kipengele cha Muziki utapata kumfahamu mwanamuziki hayati Oliver Ngoma.
    20 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners