
Sign up to save your podcasts
Or


Kwenye makala haya tunajadili kilichotokea nchini DRC ambapo bunge la seneti lilimuondolea kinga ya kutoshtakiwa rais wa zamani, Joseph Kabila, hatua ambayo sasa inatoa nafasi kwa mahakama ya kijeshi kumshtaki kiongozi huyo kwa tuhuma za uhaini.
Unazungumziaje hatua hii ya seneti, unadhani ilikuwa sahihi?
Ndio swali tumekuuliza?
skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.
Ilivyo ada kila siku ya ijumaa rfi Kiswahili hukiupa nafasi kuchangia chochote kile, maana yake nini? unachangia chochote kile, ulichoskia kwenye habari zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo.
Skiza makala haya kuelewa zaidi.
Leo hii tunaangazia Mazungumzo kati ya nchi ya Rwanda na Marekani kuhusu Kigali kuwapokea wahamiaji haramu watakaofukuzwa kutoka Washington.
Unazungumziaje mazungumzo haya sawia na kauli ya mashirika ya Kimataifa ya kutetea haki za binadamu yakiongozwa na Amnesty International, yanayosema mpango huo utakiuka haki za wakimbizi?
Skiliza kauli mbalimbali katika makala ya leo.
Wabunge wa upinzani hata hivyo walisusia kikao kilichopitisha mswada huo kwa haraka.
Wanasiasa wa upinzani wanadai mswada huo unawalenga wakosoaji wa rais Yoweri Museveni
Leo tunaangazia ,hatua ya Tanzania kuwazuia Mawakili, wanaharakati wa haki za binadamu kutoka nchini Kenya, akiwemo Jaji Mkuu mstaafu Willy Mutunga waliokwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi mkuu wa upinzani Tundu Lissu.
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake haitaruhusu wanaharakati wa kigeni kuingia nchini Tanzania na kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake.
Viongozi wa dunia, wameendelea kutoa wito wa amani kwenye nchi za Sudan Ukraine na Gaza hizo, ambako vita vimesababisha vifo vya maelfu ya raia na wengine kuwa wakimbizi.
Hata hivyo licha ya wito huu, mapigano yameendelea kuripotiwa.
Juma hili waskilizaji wetu walikuwa na maoni haya kuhusu taarifa zetu
Katika makala haya tunajadili athari ya vita vya ukraine na Urusi na sasa tishio la vita nyingine kati ya India na Pakistan.
Je ni shara ya kutokea kwa vita vya pili vya dunia ? ndilo swali tumekuuliza.
Skiza baadhi ya maoni ya waskilizaji.
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners