
Sign up to save your podcasts
Or


Shaba ya makala haya inalenga news Zealand ambapo serikali inapendekeza marufuku ya matumizi ya mitandao kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16, lengo likiwa kuwakinga dhidi ya athari za mitandao.
Njia gani wazazi wa kiafrika wanaweza kuwalinda watoto na mitandao ya kijamii?
Ndilo swali tumeuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala haya.
Leo mada yetu inajikita kwa siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, ambapo Umoja wa Mataifa umesema licha ya baadhi ya nchi kupiga hatua katika ulinzi wa wanahabari, hofu ya uhuru wa habari kuendelea kuminywa inaendelea kutanda.
Mwaka jana jumla ya wanahabari 82 walipoteza maisha wakitekeleza majukumu yao.
Tuambie nchini mwako vyombo vya habari viko huru?
Haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala.
Kwa sasa macho yakiwamulika makadinali 135 watakaochagua papa mpya ndani ya siku chache zijazo, mjadala kuhusu Papa kutoka Afrika ukishamiri.Mchakato wa kumchagua p
Juma lililopita ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi zilieleza kuwa rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila alirejea nchini Mwake kupitia mji wa Goma unaokaliwa na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda.
Hata hivyo hatua yake imeifanya serikali ya Kinshasa, kusimamisha shughuli zote za chama chake cha PPRD, ikikituhumu kushurikiana na waasi hao.
Unazungumziaje kurejea kwa rais Kabila?
Ndilo swali tumekuuliza katika makala haya.
Skiza maoni ya mskilizaji.
Katika makala haya shaba yetu inalenga nchini DRC, ambapo Rais mustaafu wa DRC, Joseph Kabila, ametangaza kurejea nchini humo, kutoka nchini Afrika Kusini ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka moja , ili kuchangia kutafuta suluhu kwa mzozo wa usalama mashariki mwa nchi yake.
Unazungumziaje hatua hii ya Kabila?
Ndilo swali tulikuuliza, skiza makala haya kuskia maoni ya waskilizaji wetu.
Kwenye makala haya tunajadili, hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru kwa bidhaa zote zanazoingizwa Marekani, kutoka mataifa ya Kigeni, hatua inayoonekana kutikisa uchumi wa Dunia.
Je unahisi hatua ya rais Trump ni sahihi?
Ndilo swali tumeuuliza.
Skiza makala haya kujua maoni ya waskilizaji.
Shaba yetu kwenye makala haya inalenga hatua ya Serikali ya Kenya, kueeendelea kuwarejesha mamia ya raia wake waliotapeliwa na kusafirishwa hadi nchini Myanmar kwa ahadi ya kupewa ajira.
Nchini mwako visa kama hivi vinaripotiwa?
Ndilo swali letu, skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni ya waskilizaji.
Katika makala haya tunajadili haja ya kuwepo sheria za kudhibiti mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mataifa ya Africa Mashariki.
Skiza makala haya kuskia mano ya waskilizaji wetu.
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners