Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Wimbi la Siasa episodes

  • Juhudi za kidiplomasia kusaka amani Mashariki mwa DRC
    Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, anaongoza jitihada za kidiplomasia kusaidia kuleta amani Mashariki mwa DRC, kuelekea awamu nyingine ya mazungumzo ya amani jijini Nairobi. Juhudi hizi zinaendelea wakati huu waasi wa M 23 yakiendelea kati ya jeshi la serikali, FARDC. Je, suluhu itapatikana ?
    10 min
  • Mapigano mashariki mwa DRC.
    Makala hii imeangazia hali ya usalama inayojiri huko mashariki ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ambako Kundi la waasi wa M23 likiungwa mkono na Rwanda lilifanikiwa kuyateka miji miwili muhimu ya Rutshuru na Kiwanja mashariki ya DRC na kuendelea na mapigano kwenye viunga vya mliji hiyo, huku serikali ya Kinshasa ikichukua uamuzi wa kumfurusha Balozi wa Rwanda nchini humo, Vincent Karega huku Juhudi za kimataifa zikiendelea kuzipatanisha nchi hizo mbili.
    Kuangazia hili tumewaalika profesa Pacifique Malonga, ni mtaalamu wa sias aza Rwanda akiwa jijini Kigali nchini Rwanda naye Guerschom Kahebe ni mchambuzi na mtaalamu wa siasa za DRC akiwa Calfornia nchini Marekani.
    10 min
  • Ongezeko la mapinduzi ya kijeshi Barani Afrika
    Msikilizaji utaskia mengi kuhusu chanzo cha ongezeko la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika.Mapinduzi kama haya yameshafanyika kwenye nchi za Guinea na Mali, huku majaribio mengine kadhaa yakishindikana kwenye ukanda huo.
    Mwaka 2021 ulishuhudia idadi kubwa ya mapinduzu barani Afrika ukilinganisha na miaka iliyopita.
    Leo tunaangazia kwa kina yanayotokea na pengine kutafuta suluhu
    11 min
  • Mjadala kuhusu kuondolewa kwa mipaka ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
    Karibu katika Makala yetu leo wimbi la siasa, kwenye usukani uko nami Ali Bilali ambapo tunajadili kuhusu maendeleo ya jumuiya ya Afrika Mashariki hususan kuhusu kauli ya hivi karibuni ya rais mpya wa Kenya William Ruto, ambae amemuomba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwa kama mkongwe miongoni mwa Viongozi wa Afrika Mashariki kupambana ili kuhakikisha mipaka inayotenganisha Nchi inaondolewa na kuondoa vikwazo vingine vyote.
    10 min
  • Rais Macron anaweza kuwapatanisha, Kagame na Tshisekedi
    Pembezoni mwa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alikutana na wenzake wa Rwanda, Paul Kagame na Felix Tshisekedi, kuona uwezekano wa wawili hao kufikia mkataba wa amani kuhusu utovu wa usalama, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
    11 min
  • Antonio Guterres : M23 ni tishio kwa MONUSCO
    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amedai kwamba waasi wa M23 wana silaha nzito kushinda wanajeshi wa Umoja wa mataifa wanaohudumu nchini DRC, MONUSCO, akisema sharti mbinu tofauti itumike kuwashinda waasi hao .
    Katika makala haya tunathimini kauli hii ya Guterres.
    10 min

About Wimbi la Siasa

From the publisher's feed

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe…

More shows like Wimbi la Siasa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners