Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Wimbi la Siasa episodes

  • Je serikali ya Kenya ianze kudhibiti makanisa
    Karibu katika makala wimbi la siasa. Tunaangazia swala la mhubiria Paul Mackenzie Nthenge ambaye aliwashawishi wafuasi wa kanisa lake wafunge bila kula ili wakutane na Mungu katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Malindi, Pwani ya Kenya.
    10 min
  • Je, suluhu ya kisiasa itazaa matunda kuhusu mzozo wa DRC
    Suluhu ya kudumu kuhusu mzozo wa usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, haijapatikana mpaka sasa. Waasi wa M 23, wameendelea kupambana na wanajeshi wa serikali. Jumuiya ya Kimataifa, inasema suluhu ni ya kisiasa. Je, itawezekana ?
    Tunajadili hili na wachambuzi, Price Mugasalusha na Edwin Kegolu, kutoka kwenye ukumbi wa Alliance Francais jijini Nairobi.
    11 min
  • Nafasi ya wanawake kwenye siasa za bara Afrika
    Leo tunatupia jicho nafasi ya wanawake kwenye siasa za bara Afrika. 
    Wiki hii siku ya Jumapili tarehe 19  rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatimiza miaka mitatu madarakani, baada ya kuapishwa kuongoza nchi hiyo kama rais wa sita, na kuwa rais wa kwanza mwanamke.
    10 min
  • Harakati za chama cha upinzani nchini Kenya
    Makala haya ya Wimbi la siasa, juma hili  tunapigia darubini siasa za upinzani zinazoendelezwa nchini Kenya. 
    Juma lililopita, kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, alitangaza kuitisha maandamano ya nchi nzima ndani ya siku 14 zijazo, ikiwa matakwa ya muungano wao wa Azimio hayatatekelezwa ikiwemo kushusha gharama ya maisha kwa raia.
    10 min
  • Viongozi wa EAC wataka M23 kuachilia maeneo, viongozi wa AU wapinga mapinduzi Afrika
    Makala ya Wimbi la siasa imeaangazia kauli ya viongozi wa EAC waliokutana huko Addis Ababa Ethiopia  walithibitisha kuunga mkono michakato ya Luanda na Nairobi ambayo inawataka waasi wa M23 Huko DRC kusitisha mapigano na kuondoka katika maeneo wanayoyashikilia, katika sehemu ya pili viongozi wa Afrika walisisitiza msimamo wao wa kutovumilia njia zisizo za kidemokrasia, kuchukua madaraka wakijadili hali ya mapinduzi ya kijeshi kule Burkina Faso, Guinea, Mali na Sudan..Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka akiwa na wageni wake: Francois Alwende, mchambuzi wa siasa akiwa Nairobi nchini Kenya, pia Hajji Kaburu mchambuzi akiwa Dar Es Salaam Nchini Tanzania
    11 min

About Wimbi la Siasa

From the publisher's feed

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe…

More shows like Wimbi la Siasa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners