Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Wimbi la Siasa episodes

  • Kamatakamata ya wapinzani kwenye mataifa ya Afrika nini hatma yake?
    Makala ya wimbi la siasa hii leo inaangazia hali ya kamata kamata inayotekelezwa na vyombo vya usalama dhidi ya wapinzani kwenye mataifa kadhaa ya Afrika mfano huko DRC Salomon Idi Kalonda mshauri wa kisiasa wake Moise Katumbi, hali kama hiyo inashuhudiwa pia huko Burundi katika chama cha upinzani cha CNL, Nchini Senegal huko na Kinara wa Upinzani Ousmane Sonko alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kufuatia tuhuma za ubakaji. Mwandishi wetu Reuben Lukumbuka amewaalika Mali Ali ni mchambuzi wa siasa za Nchi za maziwa makuu akiwa Visiwani Mayotte na pia Francois Alwende ni mchambuzi na mataalamu wa siasa za DRC akiwa Jijini Nairobi nchini Kenya
    11 min
  • Ziara ya rais Tshisekedi wa DRC huko CHINA,pia mchakato wa uchaguzi wa 2023
    Makala ya wimbi la siasa wiki hii imeangazia ziara ya rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi nchini China, na pia maendeleo ya mchakato wa uchaguzi kwenye nchi hiyo.Waalikwa wetu katika kuzungumzia hili ni Kashando Mukanisa Yvon mchambuzi huru na mtaalamu wa siasa za DRC, wakili Moise Bashwira wa chama cha UNC moja ya vyama madarakani vya Sacred Union, na pia Muhindo Safari Akayezu wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République chake Moise Katumbi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
    10 min
  • SADC kutuma kikosi nchini DRC, Tshisekedi akosoa kikosi cha EAC
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amelishtumu jeshi la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutofanya vya kutosha kudhibiti utovu wa usalama Mashariki mwa nchi yake.
    Mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC, wamesema watatuma kikosi chake Mashariki mwa DRC, huku Umoja wa Mataifa ukita juhudi zaidi kusaidia kupatikana kwa amani. Tunachambua kwa kina.
    11 min

About Wimbi la Siasa

From the publisher's feed

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe…

More shows like Wimbi la Siasa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners