Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Maadhimisho ya siku ya kiswahili duniani na miaka 13 ya rfi kiswahili sehemu 1 Julay 9 2023
    Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu ambayo leo ni maalum kabisa kuhusu siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili ambayo huadhimishwa kila ifikapo Julay 7 ambapo huu ni mwaka wa pili tangu kuanza kuadhimishwa kwa siku hii baada ya shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Sayansi Elimu na Utamaduni kuidhinisha siku hii ili kulinda tamaduni za waswahili siziji kupotea. Mimi naitwa Ali Bilali ambatana name mwanzo hadi Tamati.
    20 min
  • Sehemu ya pili ya Makala kuhusu Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura
    Naam mskilizaji wa RFI Kiswahili na mpenzi wa Makala changu chako karibu katika sehemu hii ya pili ya Makala kuhusu tamasha la Marahaba Music EXPO lililofanyika huko jijini Bujumbura nchini Burundi ambapo RFI Kiswahili iliwakilishwa nami Ali Bilali mtangazaji wa maswala ya Historia sanaa na Utamaduni. Kumbuka sehemu ya kwanza nilikueleza namna tamasha lilivyokuwa na kuzungumza na wadau mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa Tamasha la Marahaba Music Expo sasa ambatana nami katika sehemu hii ya pili.
    21 min
  • Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura msimu wa 5 lavunja rekodi
    Wadau kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni wamekutana jjijini Bujumbura kuanzia Juni 20 hadi Juni 25 katika tamasha la Marahaba Music Expo lililojumuisha wasanii takriban 150 kutoka katika kila kona ya dunia  kushiriki katika tamasha hilo la kimataifa lillilopata mafaanikio makubwa baada ya idadi kubwa ya watu kujitokeza ambapo awamu ya kwanza ilifanyika mjini kati ya pili Kanyosha na ya tatu ilifanyika Kinama. Muandishi wetu wa maswala ya sanaa na utamaduni Ali Bilali alikuwepo
    20 min
  • Siku kuu ya Muziki ya kila Juni 21 na msanii Katoi wa Tabaka wa kundi la Mijikenda Jazz Band
    Karibu katika Makala Changu chako changu Jumapili ya leo ambapo tunazungumzia hasa kuhusu siku kuu ya mUziki ya Juni 21, na msanii Katoi wa Tabaka  na kwenye le parler francophone tutazungumzia kuhusu tole la nne la kuheshimlisha wanamuziki wa Bongo Fleva linaloandaliwa na Alliance francaise ya Dar es salaam, na kwenye Muziki nitakiuletea muziki wa Kataoi wa Tabaka and the Mujikenda Jazz Band mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue et bon reveil matinale.
    20 min
  • Muandishi wa vitabu Wanjiru M Thuku wa Kenya azindua kitabo chake, wadau wajitokeza kumuunga mkono
    Karibu katika Makala changu chako chako changu, Jumapili ya leo tunazungumzia kuhusu uandishi wa vitabu, tutakuwa naye Bi Wanjiru Othuku aliezindua kitabu chake juma hili, na kwenye le parler Francophone tutazungumzia kuhusu ratiba za shughuli za kitamaduni Alliance Francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitamzungumzia mwanamuziki Jux kutoka nchini Tanzania, mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue, Karibu, na asubuhi njema, ama bon reveil matinale.
    20 min
  • Historia ya Bendi ya Lelele Africa Music na shindano la filamu kwa kutumia simu ya mkononi
    Jumapili hii katika Makala Changu changu chako chako changu, ambapo leo nakuletea historia fupi ya bendi ya Lelele AfricA Music pamoja na shindano la filamu kwa kutumia simu linalofanyika Huko Misri, na kwenye le parler francopjhone tutaangazia kuhusu tamasha la Mombasa Ocean Festival lilioandaliwa kwa ushirkinao na Unbalozi wa Ufaransa nchini Kenya na Somalia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Afende Ready Kutoka hko Bukavu. kumbuka kutufollow pia kwa instagram @billy_bilali
    20 min
  • Tamasha la kukuza utamaduni wa watu kutoka kabila la bashi huko Bukavu
    Makala haya yanakuletea tamaduni za watu kutoka kabila la washi kupitia tamasha lililoandaliwa ili kuboresha na kukumbusha vizazi vya sasa kuhusu tamaduni zao, hii ikiwa ni awamu ya kwanza ambapo itaendelea kuhusisha pia makabila mengine lengo kuu hasa ni kudumisha mila na tamaduni. Kupitia Makala haya Ali Bilali amezeungumza na Wakili  Placide kueleza zaidi kuhusu tamasha hilo. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali
    20 min
  • Historia ya Arthur Firmin na tamasha la Lelele Africa Music Taarab kutoka Mombasa
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea historia ya Arthur Firmin mpiga picha wa zamani na mtaalamu wa kupanda milima Mkenya mwenye asili ya Uingereza, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance Francaise ya Nairobi, Dar es salaam. Na kwenye Muziki nitakuletea muziki wa bendi ya Lelele Africa Music Taarab kutoka Mombasa nchini Kenya Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
    20 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners