Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Hofu ya wananchi kuzuru Jumba la Makumbusho ya Kolwezi kisa uwepo wa mizimu
    Ni furaha kubwa kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo leo naungana na mwenzangu Denise Maheho kukujuza kuhusu jumba la makumbusho la huko Kolwezi, na kwenye le parler francophone nitakujuza kuhusu shughuli za utamaduni kwenye vituo vya Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muzki nitakuletea mwanamuziki Diamond Plantnumz ambae juma hili ameadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
    20 min
  • Abu Omar mwanamuziki wa zamani wa muziki wa Densi atambulisha kitabu chake
    Ni furaha kukutana nawe kwa mara nyingine tena Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Msanii wa kitambo wa bendi kutoka Afrika mashariki Abu Omar ambae ameandika kitabu kuzungumzia historia ya muziki wa densi. Kwenye le parler francophone nakupa ratiba ya shughuli kwenye vituo vya Alliance francaise ya Nairobi, na Dar es salaam, na kwenye muziki nakuletea muziki wa Singeli kutoka nchini Tanzania. Mimi ni mtangazaji asiependa makuu Ali Bilali. Binevenue.
    20 min
  • Sehemu ya pili ya makala Changu Chako Chako Changu kuhusu historia ya Waswahili wa Burundi
    Ni furaha kubwa kukutana nawe Jumapili nyingine katikza Makala haya changu chako chako changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu historia ya waswahili wa Burundi. Na kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli kwenye Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Alliance francaise ya Lubumbashi. Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi anaitwa Miraculos Lop. Mimi naitwa Ali Bilali mtangazji wako asiependa makuu. Bienvenue, ama Karibu
    20 min
  • Historia ya waswahili wa Burundi katika Makala Changu Chako Chako Changu na Ali Bilali
    Katika Makala haya, Ali Bilali mtangazaji wa maswala ya Historia na utamaduni kutoka RFI Kiswahili anakuletea historia ya waswahili wa Burundi katika mazungumzo na mzee mkongwe mwana Historia kutoka Buyenzi, Mzee Anzuruni Hussein,  ikiwa ni sehemu ya kwanza, na  kwenye le Parler francophone tutaangazia kuhusu ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki Vichou Love kutoka nchini Burundi.
    21 min
  • Wapemba wa Kenya wapewa vitambulisho vya uraia baada ya kutambuliwa
    Ni furaha kubwa kwangu kukutana nawe kwa mara nyingine tena Jumapili ya leo katika Makala changu Chako Chako Changu, ambapo hivi karibuni rais wa Kenya aliwapa vitambulisho watu kutoka kabila la wapemba miezi kadhaa baada ya kuwaidhinisha kuwa miongoni mwa makabila ya wakenya, na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba ya shughuli kwenye Alliance francaise na Nairobi na Institut francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Ferre Golla Mimi ni Ali Bilali
    20 min
  • Kina Mama kutoka kundi la Warumba wa Nyakanga nchini Burundi waeleza kuhusu utamaduni wao
    Katika Makala haya Mtangazaji wako Ali Bilali wa idhaa ya Kiswahili ya RFI amezungumza na kina Mama kutoka kundi la Warumba wa Nyakanga, ambao hutoa burudani ya kuimba kwa kutumia ngoma maharufu "Msondo" huku wakitoa pia somo la mafunzo ya kumfunda mwali katika utamaduni wa waswahili wa Buyenzi. Na kwenye Muziki utampata Kijana Khalid msanii wa miondoko ya Taarab kutoka nchini Burundi mwenye lengo la kuinua muziki huo nchini Burundi.
    20 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners