Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

By RFI KiswahiliSociety & Culture
Download on the App Store

Changu Chako, Chako Changu episodes

  • Historia ya siku kuu ya wafanyakazi duniani na harakazi za kumuenzi Papa Wemba
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu siku kuu ya Kimataifa ya wafanyakazi duniani maharufu Mei Mosi, na kwenye le Parler Francophone nakuletea shughuli za utamaduni Alliance francaise ya Nairobi, Institut Francais ya Bujumbura na tamasha la kuwaenzi wanamuziki wa Bongo Fleva lililoandaliwa na Alliance Francaise ya Dar es salaam, na kwenye Muziki nitakuletea muziki wa nguli wa miondoko ya Rumba hayati Papa Wemba
    20 min
  • Mashindano ya Muziki wa Slam ama mashairi Lubumbashi na mwanamuziki Kblack
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu Slam ama mashahiri na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaangazia kinachoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Institut francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Keblack kutoka nchini Ufaransa, mimi naitwa Ali Bilali, bienvenue et bon reveil matinale. Yaani Karibu na asubuhi njema, lakini pia Eid Mubarak
    20 min
  • Kijiji cha Mitahato nchini Kenya na jitihada za kujifunza lugha ya Kifaransa
    Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu chako chako Changu ambapo leo tunaangazia juhudi za wakaazi wa Mitahato Kaunti ya Kiambu katika Kujifunza lugha ya Kifaransa. Na kwenye le le parler Francophone tutaangazia kinachoendelea Alliance francaise ya Nairobi, Mombasa, Dar es Salaam na kwenye Muziki tutamzungumzia mwanamuzi Sheebah Karungi kutoka nchini Uganda. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue, ama Karibu lakini pia Bona Reveil Matinale,
    20 min
  • Wasanii kutoka Lubumbashi wajiandaa na mchezo wa kuigiza Bienvenue a Walikale
    Karibu katika makala Changu chako chako changu ambapo Jumapili hii tunaelekea Mjini Lubumbashi kuzungumzia mchezo wa kuigiza Bienvenue à Walikale, na kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu walichokuandalia Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam pamoja na Institut Français ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea kibao chake mwanamuziki Zuchu napambana. Mimi naitwa Ali Bilali bienvenue.
    20 min
  • Historia ya mji wa kale huko Mombasa na maandalizi ya tamasha la karibu Walikale
    Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, jumapili ya leo nakupeleka huko Mombasa nchini Kenya kuangazia mji wa Kale mjini hapo, na kwenye le parler francophone tutaangazia nini kilichoandaliwa na Institut Francais de Lubumbashi na Alliance francaise ya Nairobi na Mombasa. Na kwenye Muziki leo nakuletea mwanamuziki Willy Paul kutoka nchini Kenya mimi naitwa Ali Bilali  ninakukaribisha Karibu, Ama Bienvenue et Bon Reveil Matinale, yaani asubuhi Njema.
    20 min
  • Mwezi wa la francophonie sehemu ya pili Louise Mushikiwabo akabidhi tuzo
    Karibu kuungana nami jumapili hii katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu mwezi wa Francophonie na kwenye le parler francophone nakuletea shughuli za kitamaduni zilizojiri kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Mombasa, Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Saidi Brazza ambae amefariki dunia alhamisi iliopita huko Ngozi magharibi mwa Burundi. Mimi naitwa Ali Bilali bienvenue.
    21 min
  • Miaka miwili ya uongozi wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
    Ni miaka miwili sasa tangu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, achuukue uongozi wa taifa hilo. Katika kipindi cha miaka hiyo tayari amefanya mageuzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi cha kuvutia viongozi wa Afrika.
    Unazungumziaje miaka miwili ya rais Samia madarakani?
    Unaamini ameleta mabadiliko yaliotarajiwa na raia?
    Ni kipi unaweza kusifia katika utawala wake?
    10 min

About Changu Chako, Chako Changu

From the publisher's feed

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya…

More shows like Changu Chako, Chako Changu

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners