
Sign up to save your podcasts
Or


Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na kukabidhi madaraka kwa upinzani, Duma Boko akiapishwa kuhudumu rais kama rais wa sita wa Botswana.
Je mataifa mengine ya Afrika yenye vyama vya ukombozi madarani yanaweza jifunza nini kutokana na uchaguzi wa Botswana?
Ndilo swali Tumekuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako.
Taifa la Uturuki limefanya mkutano na viongozi wa Africa, nchi hiyo ikilenga kuimarisha uhusiano wake na Africa.
Lakini je kuna la ziada katika mkutano huu.
Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
Ripoti ya hivi karibuni ya umoja wa mataifa ,kuhusu usawa wa kijinsia, takwimu zinaonesha hatua kupigwa lakini changamoto bado zimesalia.
Wiki iliyopita watu kadhaa walipoteza maisha kufuatia jengo liloporomoka nchini Sierra Leone
Watu wengi wameendelea kupoteza maisha katika majanga ya majini
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners