Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Tanzania: Rais Samia awaonya mabalozi

    katika makala  haya  tunajadailki hatua ya rais wa rais wa #Tanzania #SamiaSuluhuHassan , kuwaonya makutoa ya pamoja  taarifa kulaani matukio ya utekaji na mauaji dhidi ya wakosoaji wa Serikali yake.

     

    Je unafikiri kauli Samia ni sahihi?

    Ndilo swali tumekuuliza, na haya hapa baadhi ya maoni yako.

    10 min
  • Africa : Ndoa zinaendelea kuvunjika haraka kinyume na awali

    Katika makala haya tunajadili misururu ya kuvunjika kwa ndoa za siku hizi  hili haliathiri tu watu wa kawaida  bali pia  watu maarufu katika jamii zetu.

    Je unafikiri nini kinachangia ndoa za siku hizi kuendelea kuvunjika haraka kinyume na zamani?

    Ndilo swali tumekuuliza, na haya hapa baadhi ya maoni yako.

    10 min
  • Sudan : UN yatathimini kutangaza vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan

    Katika makala haya tunajadili hatua ya umoja wa mataifa kusema unatathimini kutangaza vikwazo dhidi ya majenerali wawili nchini Sudan ambao wamekuwa kwenye vita kwa zaidi ya miezi 17.

    Je unafiriki kutangazwa kwa vikwazo dhidi ya majenerali wa Sudan kutasitisha vita nchini Sudan?

     

    Unahisi jumuiya ya kimataifa imesaidia, kutatua mizozo Africa, ndio maswali tumekuuliza.

     

    Haya hapa baadhi ya maoni yako.

    10 min
  • Kenya : Mataifa ya Africa yakosa kuzingatia katiba

    Kwenye makala ya Habari Rafiki leo tunajadili kilichofanyika nchini Kenya, ambapo taifa hilo la Africa mashariki limeadimisha miaka 14 tangu lijipatie katiba ya mwaka 2010, ila imekuwa vigumu kwa serikali kutekeleza baadhi ya vipengee vya katiba hiyo.

    Unafiriki nini huzuia serikali yetu kuttotekeleza  katiba?

    Ndilo swali tumekuuliza, na haya maoni yako.

    10 min
  • Africa : Inasubiri chanjo ya Mpox kutoka ulaya

     katika makala ya Rabari Rafiki, leo mskilizaji tunajadili hatua ya Mataifa ya Afrika yalioathirika na ugonjwa Mpox kuendelea kusubiri chanjo kutoka kwa mataifa ya magharibi ili kuwapa raia walioathirika.

     

    Je unafikiri kwa nini hadi sasa Afrika haiwezi tegeneza chanjo yake?

     

    Ndilo swali tumekuuliza na haya maoni yako.

    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners