
Sign up to save your podcasts
Or


Kwenye makala hayai tunajadili hatua ya Jumuiya ya IGAD kuripotiwa kupendekeza kutumwa kwa wanajeshi wa kulinda amani toka nchi za Afrika ambazo hazijajihusisha kwenye mzozo unaoendelea ili kusimamia mkataba wa usitishaji mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa RSF nchini #sudan.
Unamtazamo gani kwa pendekezo hili?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Madu huru zilizoangaziwa na wasikilizaji wetu wiki hii
Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto
Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto
Mapendekezo ya taifa la Uingereza yanataka vita kusitishwa nchini Sudan na kuruhusiwa misaada ya kibinadamu kuwafikia waathiriwa.
Nchini #kenya ,wagonjwa wengi wanaendelea kutaabika kupata huduma za afya kufuatia changamoto zinazotokana na utekelezwaji wa mpango mpya wa afya ,SHIF
Hali hii ndiyo pia inayokumba nchi nyingi za Afrika zinazojaribu kutekeleza mipango ya afya inayosimamiwa na serikali.
Umaskini umeendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo nchini Uganda
Ripoti ya shirika moja lisilo la kiserikali nchini #Uganda, inayoonesha kuwa karibu asilimia 68 ya raia nchini humo wanapata ugumu kujikimu kimaisha kutokana umasikini.
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo.
Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.
Katika Makala haya, tunajadili hatua ya hivi karibuni ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yamendelea kurekodi ongezeko la visa vya utekaji na mauaji, vingi vikitekelezwa na idara za usalama au watu wasiojulikana.
Unazungumziaje hali hii ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Donald Trump amechaguliwa tena rais wa Marekani baada ya kukaa kwenye kijibaridi kwa kipindi cha miaka 4.
Waskilizaji wa rfi Kiswahili walikuwa na maoni haya baada ya mshindi wa Trump.
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners