Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Kundi la M23 kuendelea kudhibiti miji ya Bunagana na Rutshuru
    Ni Miezi miwili imepita tangu pale mji wa Bunagana nchini DRC ukaliwa na waasi wa M23, mashirika ya kiraia na mamlaka za mitaa huko Rutshuru wanasema wana wasiwasi kwamba waasi hao wanaimarisha uwepo wao katika eneo hili.Je, unadhani serikali imefanya vya kutosha kudhibiti eneo hilo?Unadhani nini Kifanyike?
    10 min
  • Tume ya uchaguzi nchini Kenya yamtangaza William Smaoe Ruto kuwa mshindi wa uchaguzi
    Hii leo katika Makala ya Habari Rafiki. Ali Bilali ndio jina langu, na leo tunazungumzia kuhusuTume ya uchaguzi nchini Kenya kumtangaza William Samoe Ruto kuwa mshindi wa uchaguzi kwa silimia  50.49%. Mshindani wake Raila Odinga (anaeungwa mkono na rais anayeondoka) amekataa ushindi huu.Una maoni gani kuhusu matokeo haya?Je, tume ya uchaguzi ilifanya kazi yake kwa uhuru?Tupigie kwa WhatsApp +254 110 000 420.
    10 min
  • FARDC yathibitisha kutumwa kwa vikosi vya Burundi maeneo ya Uvira Kivu Kusini
    Nipo hewani Muda huu Ali Bilali kuongoza makala haya ya Habari Rafiki ambapo leo tunazungumzia kuhusu.Jeshi la Kongo lathibitisha kutumwa kwa wanajeshi wa Burundi mashariki mwa DRC, haswa huko Uvira. Je, hatua hii itasaidia kutokomesha vikundi vya waasi?Je, Wakongo wamepokeaje uwepo huu wa jeshi jipya la kigeni?Je, uwepo wa wanajeshi wa Burundi unaweza kuhakikisha kurejea kwa amani mashariki mwa DRC?
    10 min
  • serikali ya Mali yaishutumu Ufaransa kuwapa msaada wapiganaji wa kijidihadi
    Karibu kuwa nami mwanzo hadit amati ya makala haya Ali Bilali ndio jina langu, mada yetu leo Habari Rafiki ni
    Miaka miwili baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini Mali, utawala wa kijeshi wa Bamako unaishutumu Ufaransa kwa "ujasusi na kusambaza silaha kwa waasi wa kijihadi".
    Je, unafikiri kwamba kufukuzwa kwa jeshi la Ufaransa kutoka Mali kulitatua mapambano ya Mali dhidi ya kusonga mbele kwa waasi wa kijihadi?
    11 min
  • Wagombea urais nchini Kenya washiriki mdahalo
    Wagombea urais nchini Kenya, wameshiriki mdahalo wa Urais kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao tarehe 9, huku wagombea wawili akiwemo William Ruto wakishiriki naye waziri mkuu wa zamani Raila Odinga akisusia mdahalo huo.
    Je, unafikiri mjadala huu utabadilisha mawazo ya Wakenya kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • Maoni yako kuhusu ajali za barabarani
    Visa vya ajali za barabarani vimeendelea kuripotiwa katika mataifa ya Africa Mashariki kisa cha hivi punde kikiwa nchini Kenya, ambapo zaidi ya watu 34 wamefarki kutokana na hali mbaya ya barabara.
    Nini Kifanyike kuzuia ajali za barabarani Africa mashariki ?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • DRC : Kikosi cha Africa Mashariki Kushambulia ngome za waasi
    Waziri wa mambo ya nje wa DRC,  Christophe Lutundula,  amesema kikosi cha  Jumuiya ya Afrika Mashariki kitakuwa na jukumu la kushambulia ngome za waasi nchini DRC, kinyume  na vile vya umoja wa Mataifa, ambayo jukumu kule ni kulinda raia, Lutandula akisema serikali inalenga kurejesha amani kule DRC.
    Tumekuliza wafikiri hatua ni mwafaka?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners