Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Wanajeshi wa Marekani kurejea Somalia
    Nchi ya marekani ,imetangaza kuwarejesha wanajeshi wake nchini Somalia ,kusaidia kukabiliana na kundi la wanamgambo wa AL Shabaab,miaka miwili tangu mtangulizi wake Donald Trump awaondoe.
    Unazungumziaja hatua hii ya Marekani ?
    Haya hapa baadhi ya maoni yako.
    10 min
  • Saisa za Kenya kuelekea uchaguzi wa Agosti 9
    Mgombea wa Urais nchini Kenya Raila Odinga ,amemteua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake kuelekea uchaguzi mkuu wa urais Agosti tisa.
    Unadhani ni kwa nini swala la ugombea wenza linafanywa kwa umakini sana?
    Haya hapa baadhi baadhi ya maoni yako.
    11 min
  • Somalia yamchagua rais mpya Hassan Mohamoud
    Wabunge nchini Somalia hatimaye wamefanya uamuzi wa kumteua rais mpya tatizo la alshabab likiendelea kuwa changamoto nchini humo.
    Unadhani kuwa uchaguzi huu utasaidia kumaliza changamoto nchini Somalia ?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • Rais Tshisekedi atuhumu jeshi na polisi wa DRC
    Rais wa DRC, Felix Tshisekedi ametuhumu jeshi na polisi la taifa hilo kwa kushindwa kukabili makundi ya waasi mashariki mwa taifa hilo, ambayo yamendelea kuwaua raia.
    Unazungumzia aje kauli hii ya rais Tshisekedi?
    haya hapa baadhi ya maoni yako.
    10 min
  • Mashindano ya urembo yazua ngumzo nchini Rwanda
    Visa vya wasichana wanaoshiriki mashindano ya urembo, kunyanyaswa kingono vimeendelea kuripotiwa, kisa cha hivi punde kikiwa nchini Rwanda, serikali ikilazamika kusitisha mashinda hayo.
    Unazungmziaje visa hivi vya unayanyasaji wa kingono?
    Haya hapa baadhi ya maoni yako.
    10 min
  • Rais wa Tunisia apendekeza mabadiliko ya katiba
    Nchini Tunisia rais Kais Saied anataka kubadili katiba ya taifa hilo, jaribio ambalo limewahi kufanywa na viongozi kadhaa wa Africa, ambao hutumia kigezo hiki kusalia madarakani.
    Je unadhani ni sahihi kwa taifa la Tunisia kubadili katiba? haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • Maoni ya waskilizaji kuhusu sheria ya utoaji mimba
    Makala yetu Habari Rafiki leo tunazungumzia kuhusu , hati isiyo rasmi kutoka kwa Mahakama Kuu ya Marekani inaibua mjadala mkali nchini humo. Sheria ya shirikisho inayowapa wanawake haki ya kutoa mimba inaweza kutiliwa shaka...Sheria ya utoaji mimba ipoje nchini mwako?Je, wanawake wanapaswa kuwa na uhuru kuamuwa kuhusu miili yao?Tutumie ujumbe kwenye Whatsapp yetu +254 110 000 420.
    11 min
  • Wafanyakazi nchini Kenya wapata nyongeza ya mshahara
    Wakati dunia ikiaadhimisha siku ya wafanyakazi duniani, nchini kenya rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ametangaza ntongeza ya asilimiua 12 ya mshahara huku hali ikiendelea kuwa ngumu sio tu nchini humo na mataifa mengine ya Afrika mashariki.
    Hali ipo je nchini mwako? 
    serikali zenu zinafanyaje kutatua kero ya ugumu wa maisha?
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners