Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Siku kuu ya kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari
    Uhuru wa Vyombo vya Habari, ikiwa fursa ya kuzikumbusha serikali juu ya haja ya kudumisha dhamira yao ya uhuru wa vyombo vya habari na pia ni siku ya kutafakari kwa wanataaluma wa habari kuhusu masuala yanayohusiana na uhuru wa vyombo vya habari na maadili ya kitaaluma.Je waandishi wa habari wanapashwa kuaminiwa ?Je, hali ya uhuru wa vyombo vya habari katika nchi yako ikoje?
    22 min
  • Waziri mkuu wa DRC Sama Lukonde athibitisha uchaguzi kufanyika 2023
    Tunaangazia mwaka Mmoja wake waziri Mkuu wa DRC Jean Michel Sama Lukonde, Aliunda serikali ya Warriors: na kuthibitisha nia ya kuandaa uchaguzi ndani ya muda uliopangwa pamoja na kurejesha Hali ya Usalama mashariki ya DRC.
    Unazungumziaje mwaka mmoja wa Sama Lukonde
    Je? amefanya kazi kulingana na Matarajio yako?
    Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi
    11 min
  • Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi jijini Nairobi Kenya
    Makala hii imeangazia kuhusu mazungumzo kati ya makundi ya waasi na serikali ya DRC ambayo yameanza rasmi Jijini Nairobi Nchini Kenya huku kukiwa na kutoaminiana; kundi la M23 likiwekwa kando. Swali hapa Je ? unaamini amani itapatikana nchini DRC ikwia wadau muhimu hawatashirikishwa ? Nini kifanyike katika kumaliza machafuko mashariki mwa DRC ?
    Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.
    11 min
  • Wanajeshi 2 wa DRC waliokuwa wamelewa wawaua raia 15
    Wanajeshi wawili waliokuwa wamelewa ,wamewauwa watu 15,mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hali kama hii ,imewahi kushuhudiwa katika mataifa ya Afrika.
    Unafikiri nini chanzo cha maofisa wa usalama kushiriki katika mauaji haya ?
    Haya hapa  baadhi ya maoni yenu waskilizaji.
    11 min
  • Uingereza kuwapeleka wahamiaji Rwanda
    Uingereza itawatuma maelfu ya wahamiaji haramu nchini Rwanda baada ya nchi hizo kutia saini mkataba wa maelewano.Hatua hii imelaaniwa na watetezi wa haki za binaadamu kote duniani.
    Haya hapa baadhi ya maoni ya wasikilizaji wetu.
    11 min
  • Nani ataibuka mshindi kwa uchaguzi wa Ufaransa
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ameshinda uchaguzi nchini humo kwa aslimia 28, dhidi ya mpinzani wake wa msimamo mkali Marine Le pen kwa aslimia 23, duru ya pili ikitarajiwa hivi karibuni.
    Unadhani nani atashinda  kati ya Marine Le pen na Emmanuel Macron ?
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners