Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Mada Huru ya ijumaa juni 17
    HABARI RAFIKI JUNE 17 2022
    Utakuwa nami Ruben Lukumbuka na kama ilivyo ada, kila Ijumaa tunaangazia Mada huru uipendayo wewe msikilizaji ni fursa kwako kuzungumzia kile ambacho kilikukera ama kimekufurahisha Katika Habari kuu za dunia wiki hii.
    11 min
  • Tanzania yawataka wanasiasa walitoroka nchi kurejea nyumbani
    Serikali ya Tanzania sasa inawataka wanasiasa waliokimbia nchi kurejea. Inawahakikishia usalama wao.
    Kama ilivyo katika nchi jirani za Burundi, Rwanda na Uganda wanasiasa hao wamekimbia kwa sababu za kisiasa na kuhofia usalama wao. Je, unafikiri wataitikia wito huo ? Unaamini watakuwa salama wakirejea ?
    Ungana na mtangazaji wako Ruben Lukumbuka.
    10 min
  • Maoni yako kuhusu wanaokwenda kufanyakazi katika nchi za ghuba
    Serikali ya Burundi imesaini mkataba na Saudia Arabia kuwatuma raia Wake kwenda kufanya kazi katika nchi za ghuba wakati huu visa vya wafanyakazi kulalamikiwa kunyanyaswa nchini Saudia Arabia vikiendelea kuripotiwa.Je unafkiri mataifa ya Afrika yanaweza kuzuia watu Wake kwenda kutafuta ajira nchini Saudia Arabia?Je uliwahi kufanyakazi katika nchi za kiarabu au unamfahamu mtu aliewahi kufanyakazi huko?
    11 min
  • Wahamiaji walioko Uingereza kuhamishiwa nchini Rwanda
    Kundi la kwanza la wahamiaji wanaondolewa nchini Uingereza, wanawasili nchini Rwanda hivi leo, katika mpango ambao hata hivyo unalaaniwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu na hata Mwanafalme Charles. Tumeuliza wasikilizaji maswali haya: unazungumzia vipi hatua hii ? Unafikiri wahamiaji hao watamudu maisha nchini Rwanda ?
    11 min
  • Maoni yako kuhusu maswalaya utunzaji wa mazingira
    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya mazingira maadhimisho yaliofanyika huku ripoti mbalimbali zikionyesha kuna hali tete kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
    Ni juhudi gani unazozifanya ili kutunza mazingira?
    Unafkiri nini kifanyike kuifanya dunia kuwa salama kimazingira?
    10 min
  • Kusitishwa kwa hatuwa ya usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi
    Siku chache baada ya mamlaka ya wanyamapori nchini Tanzania, kutangaza kuruhusu kusafirishwa nje ya nchi kwa wanyama, Serikali kupitia waziri wake wa Utalii, imebatilisha tangazo hilo.
    Hatua hii imekuja baada ya raia wengi kuhoji uamuzi wa kuruhusu tena usafirishwaji wa wanyamapori, ambapo mwaka 2016 kuliwekwa zuio.Je ni lazima wanyamapori walindwe?Hali ipoje katika nchi yako?
    10 min
  • Mazungumzo ya amani nchiniSudan yameahirishwa
    Makala ya Habari rafiki hii leo imeangazia kuahirishwa kwa mazungumzo kati ya jeshi nchini Sudan na viongozi wa kisiasa baada ya vuguvugu la kiraia la FCC kukataa kushiriki kwa shinikizo la kutaka jeshi kuondoka madarakani. Nini maoni yako kuhusu kukwama kwa mazungumzo haya ya kisiasa? Unafikiri suluhu ya mzozo wa kisiasa nchini Sudan ni nini ? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners