Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Tanzania: Mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa rais John Magufuli
    Ni mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na rais Samia Suluhu Hassan kuchukua madaraka na kubadilisha baadhi ya sera za mtangulizi wake.
    Utamkumbuka vipi rais Magufuli ?
    Unaamini kwenye uongozi wa mwanamke nchini Tanzania ?
    Mabadiliko yepi umeyaona kutoka kwenye rais Samia tangu kuchukuwa uongozi ?
    10 min
  • Wafungwa sita wafariki dunia nchini DRC kwa sababu ya njaa
    Nchini DRC wafungwa sita wamefariki katika gereza kuu la matadi kutokana na utapiamlo, mwaka uliopita wafungwa kumi walifariki katika hali kama hiyo huko Rutshuru mashariki mwa Congo.
    Je nini maoni yako kuhusu mateso wanayopitia wafungwa?
    Kuna visa kama hivi katika nchi yako?
    Nini kifanyike kuboresha hali katika magereza barani Afrika?
    10 min
  • Kupanda kwa bei ya bidhaa nchini Kenya
    Wakenya watalazimika kulipia zaidi bidhaa za mafuta wakati huu vita vya Ukraine vikiendelea kuathiri bei za bidhaa za mafuta duniani
    Hali ya bei za chakula na bidhaa za mafuta zikoje nchini mwako ?
    Unafikiri jamii ya kimataifa inafanya vyakutosha kusitisha vita nchini Ukraine
    10 min
  • Rais Kenyatta amuunga mkono kiongozi wa upinzani Raila Odinga
    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mwishoni mwa wiki iliyopita alimuidhinisha aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga kama mrithi wake wakati uchaguzi mkuu utafanyika mwezi Agosti.
    Je, una maoni gani kuhusu hatua ya Rais Kenyatta?
    Katika nchi yako, Rais anayeondoka madarakani anaweza kumuidhinisha mpinzani wake?
    Nini matarajio yako kuhusu uchaguzi wa Kenya?
    10 min
  • Pembe ya Africa yakubwa na baa la njaa
    Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema takriban watu milioni 13 katika eneo la pembe ya Afrika na Africa nzima wanakabiliwa na njaa kutokana na hali ya ukame inayoendelea kushuhudiwa.
    Hali katika nchi yako ipo je?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • Ukeketaji kwa jamii za Kiafrica
    Mwishoni mwa juma lililopita, dunia iliadhilisha siku ya kimataifa ya kupinga vitendo vya ukeketaji, umoja wa Mataifa ukionya kuhusu mila hizi potofu dhidi ya wanawake na wasichana.
    Unadhani nini kifanyike kumaliza mila hizi?
    Haya hapa baadhi ya maoni yenu.
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners