Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Shule zafunguliwa tena nchini Uganda baada ya miaka miwili
    Mamlaka nchini Uganda zinasema, huenda asilimia 30 ya wanafunzi wakashindwa kurejea shuleni, siku moja tangu kufunguliwa kwa shule baada ya karibu miaka miwili kuwa zimefungwa kutokana na janga la Corona.
    Nini kifanyike kwa wanafunzi Hawa kurejelea masomo?
    Unadhani ilikuwa sahihi Serikali kuzifunga shule?
    Hali ikoje nchini mwako?
    10 min
  • Hali ya madeni ya taifa nchini Kenya na Tanzania
    Hivi karibuni nchini Kenya na Tanzania, kumekuwa na mjadala kuhusu hatua za serikali ya nchi hizo kuendelea kukopa kiwango kikubwa cha pesa, hali ambayo inaelezwa imeongeza mzigo kwa raia ambao wanalipa kodi kiwango kikubwa.
    Mtazamo wako ni upi kuhusu hatua ya serikali kuendelea kukopa ?
    Unahisi fedha zinazochukuliwa na serikali zimetumika ipasavyo ?
    10 min
  • Usalama Mashariki mwa DRC utaimarika mwaka 2022 ?
    Ripoti za kijeshi na zile za masharika ya kiraia, zinasema wiki iliyopita, watu zaidia ya 50 waliuawa Mashariki mwa DRC wakiwemo waasi, wakati huu wanajeshi wa Uganda na DRC yakiendelea kuwasaka waasi waz ADF.
    Mwaka unapokaribia kufika mwisho, unaamini waasi wa ADF watatokomezwa ?
    Nini matarajio yako kuhusu hali ya usalama Mashariki mwa DRC kwa mwaka wa 2022.
    10 min
  • Askofu Mkuu Desmond Tutu afariki dunia
    Mwanaharakati aliyepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, na pia kuwa Askofu Mkuu wa kanisa Anglikana, Desmond Tutu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.Tutu alisifika kutetea haki za binadamu na maridhiano kwenye taifa lake.
    Msikilizaji unamkumbuka Desmond Tutu kwa lipi ?
    Nini kifanyike kumuenzi ?
    11 min
  • Kirusi cha Omicron chaendelea kusambaa barani Afrika
    Kirusi kipya cha covid 19 Omicron, kinaenea kwa kasi duniani na sasa kimeripotiwa kwenye mataifa ya Kenya, Uganda, Rwanda na DRC.
    Unafanya nini kuepuka kuambukizwa ?
    Unatarajia hatua gani nchini mwako kukabiliana na kirusi hiki ?
    Tume maoni yako ya sauti kwenda namba yetu ya watsup +254 110 000 420.
    10 min
  • UNESCO yatambua muziki wa Rumba kama urithi wa dunia
    Tume ya Umoja wa Mataifa UNESCO imetangaza muziki wa rhumba wenye asili ya DRC na Congo Brazzaville kuwa urithi wa dunia.
    Nini maoni yako kuhusu hatua hii?
    Musiki wa rhumba umechangia vipi kukuwa kwa muziki kwenye nchin yako?
    Tutumie maoni ya sauti kwenda namba yetu ya whatsApp, ukianza na +254 110 000 420.
    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners