Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Maoni ya waskilizaji wa RFI Kiswahili kupitia mada huru
    Katika amakala haya kama ilivyokawaida kila siku ya Ijumaa RFI Kiswahili hutoa nafasi kwa waskilizaji wake kuzungumzia mada uipendayo, ambapo kubwa lililoibuka ni mauaji yanayoendelea huko mashariki mwa DRC na mfumko wa bei ya bidhaa muhimu katika mataifa mbalimbali ya Afrika Mashariki.
    11 min
  • Kuelekea uchaguzi mkuu wa rais nchini Ufaransa
    Raia wa faransa watapiga kura jumapili hii kumchagua rais wao. Jumla kuna  wagombea 12 akiwemo Rais Macron ambaye anawania kuchaguliwa tena. Kampeni za uchaguzi zinatamatika huku matamshi ya kibaguzi yakitolewa na wagombea kadhaa.
    Una maoni gani kuhusu uchaguzi huo?Je, Ufaransa inaweza kuanguka na kuingia katika hali ya kutovumilia?Unadhani nani atashinda uchaguzi huu?
    10 min
  • Kenya kusajili upya kadi za simu
    Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya, inalenga kuhakikisha kadi zote za simu zinasajiliwa kufikia April 15, la sivyo zitazimwa, mamlaka hiyo ikisema hilo linalenga kuzia wizi wa mitandaoni.
    Ni nini maoni yako kuhusu hatua hii?
    makala haya yana baadhi ya maoni yenu.
    10 min
  • Kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu msimu wa Ramadhani unapoanza
    Msimu wa Ramadhani ndio umeanza huku kukiwa na hali ya kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu na uhaba. Hali hii haionekani tu barani Afrika bali ulimwenguni, na kulazimisha familia kupunguza baadhi ya matumizi katika msimu huu.
    Je, unaipangaje bajeti yako ya mwezi wa Ramadhani ?
    Hali ya Ramadhani ipoje katika nchi yako?
    10 min
  • Muda wa jeshi la AMISOM wamalizika nchini Somalia
    Mamlaka ya vikosi vya kulinda amani nchini Somalia,  Amisom inamalizika baada ya miaka 15 .Vikosi hvyo sasa vitabadilishwa na kupunguzwa idadi yake.
    Je, unafikiri AMISOM imefanikiwa nchini Somalia ?
    Nini mustakabali wa Somalia ikiwa jumuiya ya kimataifa inapunguza wanajeshi wake ?
    11 min
  • Wasiwasi wa kutokea kwa mapigano mapya nchini Sudan Kusini
    Kumeibuka wasiwasi kuhusu kutokea mapigano mapya nchini Sudan Kusini, kati ya vikosi tiifu kwa Salva Kiir na Riek Machar, kila mmoja akimtuhumu mwingine kwa kukiuka mkataba wa amani.
    Unafikiri viongozi hawa wamefanya vya kutosha kuheshimu mkataba wa amani uliopo ?
    Nini kifanyike kurejesha amani ya kudumu nchini humo ?
    10 min
  • DRC nchi mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
    Viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana hii leo kwa njia ya mtandao ambapo moja ya ajenda yao imekuwa kuiingiza DRC kuwa mmoja wao.
    Kama raia wa DRC unatarajia nini baada ya nchini yako kuwa mwanachama?
    Unafikiri hatua hii itaboresha maisha na mshikamano ?
    Ni faida gani DRC itaongeza kwenye Jumuiya ?
    11 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners