Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Watu 518 walifariki Tanzania wakati wa vurugu za uchaguzi, mapigano bado yanaendelea DRC

    Taarifa kuu wiki hii ni ripoti ya tume ya uchunguzi nchini Tanzania iliyosema watu 518 walifariki wakati wa ghasia za uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka uliopita. 

    Tunaangazia pia taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo licha makubaliano ya kusitisha vita kati ya waasi wa M23/AFC na serikali ya Kinshasa, kuendelea kushuhudiwa kwa mapigano ya mara kwa mara. Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo wa 14 alikamilisha ziara ya siku kumi barani Afrika juma hili; na katika mzozo wa Mashariki ya kati, Marekani yaongeza muda wa kusitisha mapigano na Iran, hatua sawa ikichukuliwa kati ya Israeli na Lebanon.

    21 min
  • Kifo tatanishi cha waziri wa habari wa Burundi, Iran na Marekani zatunishiana misuli

    Makala hii imeangazia kifo cha waziri wa mawasiliano na vyombo vya habari nchini Burundi Gabby Bugaga, waasi wa AFC/M23 na serikali ya DRC wanaokutana huko Uswis wakubaliana kuhusu kubadilishana na wafungwa, huku Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ikisisitizia msimamo wake wa kuitaka Rwanda kuwaondoa wanajeshi wake katika eneo la mashariki, ziara ya kiongozi wa kanisa katoliki nchini Cameroon kabla ya kuelekea Angola, na mvutano kati ya Iran na Marekani kuhusu mlango bahari wa Hormuz

    21 min
  • Rwanda yaadhimisha miaka 32, mauaji ya kimbari, Israeli yashambulia Lebanon

    Maadhimisho ya siku 100 maarufu kama kwibuka kukumbuka mauaji ya mwaka 1994 nchini Rwanda, mwanadiplomasia wa Marekani James Swan kuanza kazi kama mkuu wa Monusco huko DRC, mazungumzo kati ya serikali ya nchi hiyo na waasi wa M23 kufanyika kule Geneva Uswiz chini ya upatanishi wa Qatar, hali ya kisiasa nchini Kenya na Tanzania, na sudan; kampeni za uchaguzi mkuu nchini Benin kutamatishwa kuelekea siku ya jumapili ya aprili 12 na mashambulizi ya jeshi la Israeli huko Lebanon

    21 min
  • Waasi wa ADF waua 40 mashariki mwa DRC, Iran yapuuzi vitisho vya Trump

    Miongoni mwa matukio makubwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na timu ya taifa ya soka ya DRC Leopards kufuzu kushiriki fainali ya michuano ya kombe la dunia 2026, shambulio la waasi wa ADF laua 30 mashariki mwa DRC, watoto wanne wadungwa kisu hadi kufa katika shule moja nchini Uganda, wapigakura wahamasishwa kujiandikisha nchini Kenya na kupanda kwa bei ya mafuta, kuapishwa kwa rais wa Jamhuri ya afrika ya kati, vitisho vya Trump kuhusu mlango bahari wa Hormuz

    21 min
  • UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya

    Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na baraza la usalama la umoja wa mataifa lataka kufunguliwa upya kwa viwanja vya ndege kwenye miji ya Goma na Bukavu mashariki mwa DRC, kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine alisema uhuru wake sio mjadala, miili 14 ilipatikana iliyopatikana nchini Kenya kufanyiwa upasuaji kubaini chanzo cha vifo. utambuzi wa utumwa kuwa uhalifu dhidi ya haki za ubinadamu, na rais Trump, aahirisha mpango wake wa kushambulia vinu vya nishati vya Iran

    21 min
  • Bei ya mafuta yapanda duniani, DRC na Rwanda kupunguza uhasama

    Miongoni mwa matukio makubwa ni pamoja na mwendelezo wa mashambulizi ya Marelkani na Israeli huko Iran, na nchi za Ghuba, huku bei ya mafuta na gesi ikipanda, DRC na Rwanda zilikubaliana kupunguza uhasama wao, rais wa Kenya William Ruto alizindua ujenzi wa reli ya kisasa SGR katika eneo la magharibi mwa nchi yake, hali ya nchini Sudan na Senegal yavuliwa ubingwa AFCON, Morocco ilitangazwa mshindi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka 

    21 min
  • Mashambulio yaendelea mashariki ya kati na mauaji ya mfanyakazi wa UNICEF DRC

    Makala hii imeangazia pakubwa mashambulio ya Marekani na Israeli huko Iran huku Irani nayo ikijibu mapigo kwa kuishambulia Israeli, na pia kuachiwa huru kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Burundi Alain Bunyoni, shambulio la ndege zisizo na rubani lililowaua watu watatu miongoni mwao, mfanyakazi wa shirika la UNICEF kwenye mji wa Goma, mashariki mwa DRC, siasa za Kenya, Uganda na maeneo mengine ya Afrika.  

    21 min
  • Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran

    Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya  jeshi la Rwanda na maafisa wake wanne wakuu, Sudan iliishtumu Ethiopia kwa kuruhusu ndege zisizokuwa na rubani kuishambulia nchi yake mwezi februari na machi, Macky Sall rais wa zamani wa Senegal miongoni mwa wagombea watatu wanaotafuta ukatibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Marekani na Israel zimeendelea kutekeleza mashambulio mazito nchini Iran, huku Iran nayo ikijibu mapigo

    21 min
  • Msemaji wa waasi wa M23 aliuawa, Kenya yazindua dawa mpya ya Lenacapavir

    Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na kuuawa kwa msemaji wa kijeshi wa kundi la waasi la M23 Willy Ngoma, serikali ya Kenya ilizindua zoezi la usambazaji wa dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, LENACAPAVIR, UN ulisema taifa la Sudan Kusini, linatoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi elfu 64, watu 25 waliuawa katika jimbo la Adamawa, kaskazini mashariki mwa Nigeria, pia awamu ya tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran, yalifanyika juma hili huko  Geneva Uswiz

    21 min
  • Ndayishimiye ndiye mwenyekiti mpya wa AU, ujumbe wa EU wazuru mashariki ya DRC

    Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU) mwaka 2026, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya huko DRC, vijana wa Afrika  wahadaiwa kupewa kazi nzuri Urusi, na kulazimishwa kupigana vita Ukraine, raia 18 wa Senegal na mmoja kutoka Ufaransa wahukumiwa kwa kuzua  fujo wakati wa mechi ya fainali  AFCON  jijini Rabat. Mkutano wa kimataifa kati ya India na Ufaransa kuhusu akili mnemba, pia tishio la Trump kuishambulia Iran

    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners