
Sign up to save your podcasts
Or


Miongoni ma wanamuziki wa muziki wa dansi waliofanikiwa kwenda barani Ulaya ni pamoja na Fresh Jumbe, baada ya kufanya sanaa hiyo kwa miaka mingi nchini Japan sasa amerejea Tanzania, Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na msanii huyo.
Amina Ahmed Mzee Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania anasema Rushwa ya Ngono imewaathiri wasichana kushindwa kufanya kazi zao kwa ufasaha.
Diamond Platinumz ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walimvutia kufanya sanaa hiyo, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa
Muziki wa Dansi unachukua sura mpya baada ya Vijana waofanya muziki wa aina nyingine kugeukia muziki huu, Steven Mumbi amezungumza naye Fredrick Fulmeradius
From the publisher's feed
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla,…

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners