Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

By RFI KiswahiliArts
Download on the App Store

Nyumba ya Sanaa episodes

  • Muziki wa kizazi kipya unavyotia fora nchini Tanzania
    Makala ya Nyumba ya Sanaa ya juma hili, inamwangazia msanii Steven Charles almaarufu Samertz ni mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, sasa amegeukia uimbaji wa muziki huo, Je nini kimetokea kiasi cha kuanza kuimba? ungana na Steven Mumbi akizungumza na Msanii huyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
    21 min
  • Maendeleo ya muziki wa Hip Hop mjini Mombasa pwani ya Kenya na Afrika Mashariki
    Makala hii imejikita katika Mji wa Mombasa pwani ya Kenya kuangazia maendeleo ya muziki wa HipHop na msanii Fikra Teule ambaye katika siku za hivi karibuni aliitoa video yake mpya na sauti inayofahamika kwa jina la SEMA YOTE akiwa amemshirikisha msanii mpya katika tasnia ya muziki anayefahamika kwa jina la Victoria Gichora, ambapo uzinduzi rasmi wa video yake ulifanyika katika kituo cha utamaduni wa Ufaransa Alliance Francaise ya Mombasa  na aliwashirikisha wasanii wenzake wa Hip Hop Ohms Law Montana, Azma Mponda na Mwimbaji Babs kutoka Tanzania.
    Fikra Teule alizitembelea studio zetu maridadi hapa RFI Kiswahili na kuhojiwa na mwandishi wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka..
    21 min
  • Sanaa ya uchoraji visiwani Zanzibar
    Uchoraji ni Sanaa ya Urithi, kutoka Mji Mkongwe visiwani Zanzibar urithi wa sanaa hiyo umetamalaki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiangazia sanaa hiyo.
    21 min
  • Maendeleo ya sanaa ya muziki wa kizazi kipya eneo la mashariki mwa DRC
    Muziki ni sanaa inachipuka kwa kasi eneo la mashariki mwa DRC, wasanii wanafanya sanaa inakubalika miongoni mwa jamii inayosikiliza lugha adhimu ya Kiswahili, Ogisha Matale ni msanii wa kizazi kipya kutoka mji wa Goma,mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa nchi hiyo akielezea changamoto wanazokabiliana nazo wasanii katika kipindi hiki eneo lao likichukuliwa kuwa kitovu cha usalama mdogo. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
    21 min

About Nyumba ya Sanaa

From the publisher's feed

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla,…

More shows like Nyumba ya Sanaa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners