Siha Njema

Siha Njema

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Siha Njema episodes

  • Kutokuwepo na Usawa na huduma za afya barani Afrika
    Makala haya yanaangazia namna ukosefu wa usawa kati ya maskini na utajiri umeendelea kuathiri huduma muhimu kwenye mataifa yanayoendelea. Shirika la OXFAM kwenye ripoti yake hivi majuzi imezema kuwa kutokana na janga la Corona ,watu matajiri waliongeza utajiri wao zaidi huku maskini wakizama zaidi.
    11 min
  • Hatari za maendeleo ya saratani ya watoto ulimùwenguni
    Shirika la afya duniani,WHO linasema watoto elfu moja, 1000 hupata saratani kila siku duniani,na katika mataifa yanayoendelea,asilimia 20 ya watoto wanaopata saratani wanaweza kuishi au kupona.
    Kusikiliza zaidi makala hii ungana na mwandishi wetu wa maswala ya afya Caroline Korir
    11 min
  • Athari ya njaa kwa afya ya binadamu
    Katika Makala haya ,tunaangazia jinsi ambavyo baa la njaa limeathiri afya za raia wengi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.Shirika la misaada la OXFAM linasema kuna zaidi ya watu millioni 15 katika mataifa hayo ambao hawana chakula kutokana na ukame na  athari za janga la Corona kwenye chumi za taifa.
    10 min
  • Tatizo la utapiamlo nchini Chad
    Makala ya Siha Njema juma hili,yanaangazia hali ya utapiamlo nchini Chad,ikiwa imeorodheshwa na shirika la umoja wa mataifa linashughulikia watoto,UNICEF kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya watoto ,wanawake wajawazito na wanaonyonyesha wanaokabiliwa na maradhi ya utapiamlo.
    11 min
  • Faida za kiafya kwa wanaume wanaokupashwa tohara
    Tunaangazia faida za kiafya  za wanaume kupashwa tohara .Kenya mwaka 2008 ilizindua kampeni ya kuwatahiri kwa khiari wanaume kuanzia umri wa miaka 15 hii ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na msambao wa virusi vya Hiv katika jamii ambazo huwa hawatahiri. Nchini Rwanda pia ambapo raia wengi hawakuunga mkono tohara ,imeanza kupata mwitikio mkubwa wa wanaume kutahiriwa.
    10 min
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Nigeria
    Kwenye Makala haya tunaangazia  ugonjwa wa Kipindu pindu au Cholera nchini Nigeria ambapo karibu watu laki moja ,waambukizwa, nchini humo mwaka , wa 2021 ,shirika la madaktari wasio na mipaka  likilazimika kuweka  vituo  kadhaa, kukabiliana na hali hiyo ya dharura.
    10 min

About Siha Njema

From the publisher's feed

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu…

More shows like Siha Njema

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners