Siha Njema

Siha Njema

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Siha Njema episodes

  • Hali ya virusi vya HIV nchini Kenya
    Katika makala  haya ya Siha Njema ukiwa  tunaangazia  mpango wa kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV kutoka mama hadi mtoto maarufu PMCT,nchini Kenya , kama njia ambayo ulimwengu imekumbatia kupunguza idadi ya watu wanaoishi na virusi vya HIV .
    10 min
  • Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi nchini Kenya wakati wa janga la Corona
    Baraza linaloongoza mapambano dhidi ya Ukimwi nchini Kenya ,National Aids Control Control Council, limesema Kenya imeripoti mambukizi mapya zaidi ya elfu 41 mwaka wa 2021, hii ikikuja wakati wanaharakati wa kupambana na Ukimwi wakihofia mvutano kati ya serikali na wafadhili, ambao umesababisha uhaba wa dawa za ARVS na kondomu unatishia pakubwa mapambano hayo.
    11 min
  • Tatizo la watoto kuzaliwa kabla ya muda wao
    Takwimu kutoka shirika la afya duniani ,zinaonesha watoto  zaidi ya milioni tano walio chini ya umri wa miaka mitano ,walifariki dunia mwaka wa 2019 kutokana na sababu ambazo zinaweza kuepukika, kwa vifo hivyo watoto wasiozidi umri wa mwezi mmoja walichangia vifo zaidi ya milioni mbili.
    Carol Korir ameangazia namna watoto wanaozaliwa kabla muda wanavyochangia katika takwimu hizi.
    11 min
  • Njia ya kupanga uzazi kwa wanaume kukatwa mshipa wa uzazi
    Takwimu za umoja wa mataifa , zimetaja ,Afrika  ya Mashariki  kuwa  eneo linaloongoza katika  ukuaji wa  idadi ya watu ,  barani Afrika ,ikiwa na watu   zaidi ya milioni 457.
    Kukabiliana na hali hii ,Shirika la afya duniani, WHO, pamoja na jamii ya umoja wa mataifa bado zimeendelea kusisitiza umuhimu wa  uzazi wa mpango, kwa kushauri wanaume kujiunga kwa kampeini hii kwa kutumia mpira au condom au kukata mshipa wa uzazi maarufu vascectomy .
    Skiza makala haya Kwa ufahamu zaidi
    10 min
  • Ugonjwa wa fistula waendelea kuwaathiri kina mama waliobakwa nchini DRC
    Wizara ya afya nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo pamoja na baadhi ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wameendelea kuwahimiza wamama waliobakwa katika eneo lenye mizozo ya kivita huko mashariki ya nchi hiyo na baadaye kukumbwa na ugonjwa wa Fistula, kujitokeza katika kushiriki kampeini ya tiba bure. Miongoni mwa mashirika hayo ni pamoja na FISPRO lenye makao yake jijini Kinshasa na pia mjini Butembo, ambako inaarifiwa wamama hao bado wamekuwa wakijificha.
    9 min
  • Tambua namna ya kutibu ugonjwa wa Menengitis
    Katika Makala haya ,utafahamu kuhusu ugonjwa wa Menengitis unaosababishwa na bacteria zinazoathiri uti wa mgongo na sehemu ya ubongo wa binadaam. Shirika la afya duniani lmeorodhesha Menengitis kuwa ugonjwa hatari unaoweza kusababisha vifo kwa haraka na unaohitaji huduma za dharura.
    10 min
  • Tatizo la usugu wa vimelea vinavyo sababisha magonjwa
    Katika makala haya ,tunazungumiza tatizo la usugu wa  vimelea  vinvyosababisha magonjwa tofauti au Anti Microbial Resistance  kwa lugha ya Kiingereza.Tatizo hili hutokea wakati bakteria ,virusi au Fungi zinavyjibadilisha na kukataa dawa ambazo zinatumika kwa matibabu mbali mbali  na kumweka mgonjwa katika hatari ya kuugua zaidi au hata kusababisha kifo.
    11 min

About Siha Njema

From the publisher's feed

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu…

More shows like Siha Njema

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners