Siha Njema

Siha Njema

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Siha Njema episodes

  • Changamoto ya afya ya akili katika kipindi cha Covid 19
    Katika Kongamano la  74 la  mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,ambalo limeratibiwa kufanyika mwezi huu,mojawapo ya agenda kuu ni suala  afya ya akili  baada ya matatizo mengi  ya kiakili kuripotiwa wakati huu wa Corona ,maofisa wa usalama wengi wakiripotiwa kutumia silaha vibaya au kujitoa uhai namna  ambavyo imeendelea kuongeza mzigo zaidi kwenye huduma za afya ambazo zimelemewa na makali ya Corona.
    11 min
  • Matatizo ya kuganda kwa damu, yanayohusishwa na virusi vya Corona.
    Katika Makala haya mpenzi msikilizaji utapata kusikia matatizo ya kuganda kwa damu. Tatizo hili limeongezeka katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona, ambapo baadhi ya dawa zinazotumika kama chanjo dhidi ya Covid-19 zimehusishwa na tatizo hili. Ambatana naye mtangazaji wako Carol Korrir kufahamu mengi zaidi.
    11 min
  • Siku ya kimataifa ya kupambana na Malaria
    Wakati dunia ikiadhimisha, siku ya kuhamasisha raia wa nchi tofuati kuhusu namna ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria Aprili 25, Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani, WHO  ripoti,,iliyongazia mwaka mmoja uliopita,mikakati iliyowekwa    kuzuia ,kupima  na kutibu Malaria ziliathirika katika thuluthi tatu za mataifa ya ulimwengu , kutokana na janga la Corona. 
    Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia juhudi tofuati za kupambana na Malaria barani Afrika ikiwemo majaribio ya chanjo ya Malaria nchini Kenya,Ghana na Malawi.
    10 min
  • Huduma za kupanga uzazi wakati wa Covid 19
    Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia Ripoti  ya  umoja wa mataifa ,  ya mwaka 2020 ya huduma za upangaji uzazi,mwaka  moja tangu kuzuka  janga la Corona .Ripoti  hiyo imebaini kushuka kwa huduma hizo na kuonya   mataifa mengi  huenda ikapunguza uwekezaji wao kwenye huduma za kupanga uzazi  kutokana na kuathirika kwa chumi zao .
    10 min

About Siha Njema

From the publisher's feed

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu…

More shows like Siha Njema

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners