Siha Njema

Siha Njema

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Siha Njema episodes

  • Wasiwasi wa kupata chanjo ya Covid 19 barani Afrika
    Mataifa mengi yanazidi kupambana kuhakikisha raia wao wanachomwa chanjo ya kuzuia Corona ambayo imesababisha vifo vya wengi duniani. Hata hivyo bara la Afrika bado lina idadi ndogo ya watu waliochanjwa kamili. Katika Makala haya tunajadili tatizo la raia kusita kupokea chanjo ya kuzuia Corona.
    10 min
  • Wiki ya unyonyeshaji duniani katika kipindi cha Covid 19
    Katika makala ya Siha Njema juma hili , ambapo dunia hutenga  wiki ya kwanza ya Agosti kuwahamasisha akina mama kuwanyonyesha wanao kwa miezi sita ya kwanza katika maisha yao,tunaangazia juhudi za akina mama kunyonyesha wakati huu wa Covid 19 . Baadhi yao wameambukizwa Corona na kulazimika kujitenga na wanao wachanga.
    10 min
  • Visa vya wanawake na wasichana kubakwa nchini DRC
    Wiki hii yameangazia vitendo vya ubakaji katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Shirika la MSF limesema katika mwaka mmoja uliopita ,limewatibu wahanga karibu elfu 11 wa ubakaji. Dhulma hizo zimechangiwa na utovu wa usalama ambao pia umeathiri utoaji huduma za matibabu ,huku mamlaka nchini humo zikishindwa kuwapa wahanga msaada wanaohitaji.
    10 min
  • WHO : Maisha ya wanaume yamefupisha
    Shirika la afya duniani, WHO, limesema  maisha ya wanaume wengi yanafupisha kutokana na wao kuwa na maumbile dhaifu na kuishi maisha hatari ya kutokuwa makini na afya zao.
    Mwezi Juni, ulimwengu hutenga juma moja kati ya tarehe 14 hadi 20 kuhamasisha jinsia ya kiume kuhusu afya zao,  kwenye makala haya tunajadili kwa nini wanaume hawapendi kufanyiwa uchunguzi wa afya au kwenda hospitali.
    10 min
  • Utowaji wa chanjo ya Covid 19 barani Africa
    Katika Makala haya ,tunaangazia juhudi za watalaam wa afya na viongozi wa Afrika kupigania bara hili kupata chanjo ya kuzuia Corona baada ya madai ya  kutokuwepo kwa usawa kwenye usambazaji wa chanjo.
    Mataifa mengi ya Afrika kutokana na  ubaguzi huo na uhaba wa chanjo  yamesalia nyuma katika kampeni ya uchomaji chanjo.
    11 min

About Siha Njema

From the publisher's feed

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu…

More shows like Siha Njema

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners